1 Fal. 21:18 Swahili Union Version (SUV)

Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko alikoshukia ili alitamalaki.

1 Fal. 21

1 Fal. 21:9-27