1 Fal. 2:40 Swahili Union Version (SUV)

Shimei akaondoka, akatandika punda wake, akaenda Gathi kwa Akishi, ili kuwatafuta watumwa wake. Akaenda Shimei, akawaleta watumwa wake toka Gathi.

1 Fal. 2

1 Fal. 2:33-41