1 Fal. 18:27 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa, wakati wa adhuhuri, Eliya akawafanyia dhihaka, akasema, Mwiteni kwa sauti kuu; maana ni mungu huyo; labda anazungumza, au ana shughuli, au anasafiri, au labda amelala, sharti aamshwe.

1 Fal. 18

1 Fal. 18:21-37