1 Fal. 18:24 Swahili Union Version (SUV)

Nanyi ombeni kwa jina la mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la BWANA; na Mungu yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye Mungu. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.

1 Fal. 18

1 Fal. 18:21-25