1 Fal. 16:28 Swahili Union Version (SUV)

Omri akalala na babaze, akazikwa huko Samaria; na Ahabu mwanawe akatawala mahali pake.

1 Fal. 16

1 Fal. 16:21-34