1 Fal. 15:7 Swahili Union Version (SUV)

Na mambo yote ya Abiya yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda? Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.

1 Fal. 15

1 Fal. 15:1-13