1 Fal. 15:34 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA akaiendea njia ya Yeroboamu, na kosa lake ambalo kwa hilo aliwakosesha Israeli.

1 Fal. 15

1 Fal. 15:25-34