1 Fal. 14:23 Swahili Union Version (SUV)

Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.

1 Fal. 14

1 Fal. 14:19-31