1 Fal. 14:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Siku zile akaugua Abiya, mwana wa Yeroboamu.

2. Yeroboamu akamwambia mkewe, Ondoka, tafadhali, ujibadilishe, wasikujue kuwa mkewe Yeroboamu; ukaende Shilo; tazama, yuko huko Ahiya nabii, aliyeninena mimi ya kwamba nitakuwa mfalme juu ya watu hawa.

1 Fal. 14