1 Fal. 11:40 Swahili Union Version (SUV)

Basi Sulemani akataka kumwua Yeroboamu, lakini Yeroboamu akaondoka, akakimbilia Misri, kwa Shishaki, mfalme wa Misri, akakaa katika Misri hata wakati wa kufa kwake Sulemani.

1 Fal. 11

1 Fal. 11:33-43