1 Fal. 11:4 Swahili Union Version (SUV)

Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa BWANA, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake.

1 Fal. 11

1 Fal. 11:1-12