1 Fal. 11:34 Swahili Union Version (SUV)

Walakini sitauondoa ufalme wote katika mkono wake; lakini nitamfanya awe mkuu siku zote za maisha yake, kwa ajili ya mtumishi wangu Daudi niliyemchagua kwa maana alizishika amri zangu na sheria zangu,

1 Fal. 11

1 Fal. 11:29-35