1 Fal. 11:29 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa zamani zile Yeroboamu alipokuwa akitoka katika Yerusalemu, nabii Ahiya, Mshiloni, alikutana naye njiani; naye Ahiya amevaa vazi jipya, na hao wawili walikuwa peke yao mashambani.

1 Fal. 11

1 Fal. 11:28-38