1 Fal. 11:24 Swahili Union Version (SUV)

naye akakusanya watu, akawa mkuu wa jeshi, hapo Daudi alipowaua hao watu wa Soba; wakaenda Dameski, wakakaa humo, na kumiliki huko Dameski.

1 Fal. 11

1 Fal. 11:16-33