1 Fal. 10:22 Swahili Union Version (SUV)

Kwa kuwa mfalme alikuwa na merikebu za Tarshishi baharini pamoja na merikebu za Hiramu; mara moja katika miaka mitatu huja merikebu za Tarshishi, zikileta dhahabu, na fedha, na pembe, na nyani, na tausi.

1 Fal. 10

1 Fal. 10:12-29