1 Fal. 10:2 Swahili Union Version (SUV)

Akaingia Yerusalemu na wafuasi wengi sana, na ngamia wachukuao manukato, na dhahabu nyingi sana, na vito vya thamani; alipomfikilia Sulemani, akazungumza naye mambo yote aliyokuwa nayo moyoni.

1 Fal. 10

1 Fal. 10:1-11