1 Fal. 10:12 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme akafanya kwa mia hiyo ya msandali nguzo za nyumba ya BWANA, na za nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda vya hao waimbaji; wala haikuja miti ya msandali kama hiyo, wala haikuonekana, hata leo.

1 Fal. 10

1 Fal. 10:5-14