1 Fal. 1:42 Swahili Union Version (SUV)

Naye alipokuwa katika kunena, tazama Yonathani, mwana wa Abiathari kuhani, akafika. Naye Adonia akasema, Karibu; maana wewe u mtu mwema, unaleta habari njema.

1 Fal. 1

1 Fal. 1:37-43