1 Fal. 1:2 Swahili Union Version (SUV)

Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.

1 Fal. 1

1 Fal. 1:1-9