1 Fal. 1:17 Swahili Union Version (SUV)

Akamwambia, Bwana wangu, uliniapia mimi mjakazi wako kwa BWANA, Mungu wako, ya kwamba, bila shaka Sulemani mwanao atamiliki baada yangu, yeye ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi.

1 Fal. 1

1 Fal. 1:13-26