“Ole wake mchungaji mbaya,ambaye anawaacha kondoo wake!Upanga na uukate mkono wake,na jicho lake la kulia na ling'olewe!Mkono wake na udhoofike,jicho lake la kulia na lipofuke.”