Zaburi 8:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu,kweli jina lako latukuka duniani kote!Utukufu wako waenea mpaka juu ya mbingu!

2. Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao,umejiwekea ngome dhidi ya adui zako,uwakomeshe waasi na wapinzani wako.

Zaburi 8