Zaburi 42:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atanijalia fadhili zake mchana;nami nimwimbie wimbo wa sifa usiku,nimwombe Mungu anipaye uhai.

Zaburi 42

Zaburi 42:1-11