Zaburi 39:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Unapomwadhibu mtu dhambi zake kwa kumkemea,unaharibu kama nondo kile akipendacho.Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu!

Zaburi 39

Zaburi 39:6-12