Zaburi 32:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha nilikiri makosa yangu kwako;wala sikuuficha uovu wangu.Nilisema ninakuungamia makosa yangu ee Mwenyezi-Mungu,ndipo nawe ukanisamehe dhambi zangu zote.

Zaburi 32

Zaburi 32:3-11