Zaburi 28:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ndiye nguvu yangu na ngao yangu;tegemeo la moyo wangu limo kwake.Amenisaidia nami nikashangilia kwa moyo;kwa wimbo wangu ninamshukuru.

Zaburi 28

Zaburi 28:3-9