Zaburi 27:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Usiache kuniangalia kwa wema.Usinikatae kwa hasira mimi mtumishi wako;wewe umekuwa daima msaada wangu.Usinitupe wala usiniache, ee Mungu Mwokozi wangu.

Zaburi 27

Zaburi 27:6-14