Zaburi 19:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu;anga ladhihirisha kazi ya mikono yake.

2. Mchana waupasha habari mchana ufuatao,usiku waufahamisha usiku ufuatao.

3. Hamna msemo au maneno yanayotumika;wala hakuna sauti inayosikika;

Zaburi 19