Zaburi 18:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Moshi ulifuka kutoka puani mwake,moto uunguzao ukatoka kinywani mwake;makaa ya moto yalilipuka kutoka kwake.

Zaburi 18

Zaburi 18:1-16