Yoshua 18:23-26 Biblia Habari Njema (BHN) Avimu, Para, Ofra, Kefar-amoni, Ofni na Geba. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.