Yoshua 12:21-24 Biblia Habari Njema (BHN)

21. mfalme wa Taanaki, mfalme wa Megido,

22. mfalme wa Kedeshi, mfalme wa Yokneamu mji ulioko kwenye mlima Karmeli,

23. mfalme wa Dori katika mkoa wa Nafath-dori, mfalme wa Goiimu huko Gilgali na

24. mfalme wa Tirza. Jumla ya wafalme hao ni thelathini na mmoja.

Yoshua 12