Yona 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Yona akaondoka, akaenda Ninewi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.Mji wa Ninewi ulikuwa mkubwa sana. Upana wake ulikuwa mwendo wa siku tatu.

Yona 3

Yona 3:1-6