Yona 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliteremka hadi kwenye misingi ya milima,katika nchi ambayo milango yake imefungwa milele.Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu,umenipandisha hai kutoka humo shimoni.

Yona 2

Yona 2:1-7