Yoeli 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Wanashambulia kama mashujaa wa vita;kuta wanazipanda kama wanajeshi.Wote wanakwenda mbele moja kwa moja,bila hata mmoja wao kubadilisha njia.

Yoeli 2

Yoeli 2:1-15