Yobu 42:1-2 Biblia Habari Njema (BHN) Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: “Najua kwamba waweza kila kitu,lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.