Yobu 32:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hiyo roho iliyomo ndani ya mtu,hiyo pumzi ya Mungu Mwenye Nguvu,ndio inayomwezesha mwanadamu kufahamu.

Yobu 32

Yobu 32:1-9