Yobu 18:20-21 Biblia Habari Njema (BHN) Watu wa magharibi wameshangazwa na yaliyompata,hofu imewakumba watu wa mashariki. Hayo ndio yanayowapata wasiomjali