Yeremia 8:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Wenye hekima wenu wataaibishwa;watafadhaishwa na kunaswa.Wamelikataa neno la Mwenyezi-Mungu;je, ni hekima gani hiyo waliyo nayo?

Yeremia 8

Yeremia 8:4-10