Yeremia 51:57 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawalewesha wakuu na wenye hekima wake,watawala wake, madiwani na askari wake;watalala usingizi wa milele wasiinuke tena.Nasema mimi mfalme ambaye jina langu ni Mwenyezi-Mungu wa Majeshi.

Yeremia 51

Yeremia 51:50-61