Yeremia 51:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo asema hivi Mwenyezi-Mungu:“Nitawatetea kuhusu kisa chenu,na kulipiza kisasi kwa ajili yenu.Nitaikausha bahari ya Babulonina kuvifanya visima vyake vikauke.

Yeremia 51

Yeremia 51:28-46