Yeremia 51:34 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Nebukadneza wa Babulonialiuharibu na kuuponda mji wa Yerusalemualiuacha kama chungu kitupu;aliumeza kama joka.Alijaza tumbo lake vitu vyake vizurivizuri,akautupilia mbali kama matapishi.

Yeremia 51

Yeremia 51:24-40