Yeremia 50:42 Biblia Habari Njema (BHN)

Wameshika pinde zao na mikuki;ni watu wakatili na wasio na huruma.Vishindo vyao ni kama mvumo wa bahari,wamepanda farasi.Wamejipanga tayari kwa vita,dhidi yako wewe Babuloni!

Yeremia 50

Yeremia 50:34-46