Yeremia 48:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Moabu amestarehe tangu ujana wake,ametulia kama divai katika gudulia.Hajamiminiwa toka chombo hata chombo,hajapata kuchukuliwa uhamishoni.Kwa hiyo yungali na ladha yake,harufu yake nzuri haijabadilika kamwe.

Yeremia 48

Yeremia 48:7-19