Yeremia 38:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika maono hayo, niliona wanawake waliobaki katika ikulu ya mfalme wa Yuda wakipelekwa kwa maofisa wa mfalme wa Babuloni, nao walikuwa wakisema hivi:‘Marafiki zako uliowaamini wamekudanganya,nao wamekushinda;kwa kuwa miguu yako imezama matopeni,wamekugeuka na kukuacha.’

Yeremia 38

Yeremia 38:18-28