Yeremia 33:1-2 Biblia Habari Njema (BHN) Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mara nyingine, wakati alipokuwa bado amefungwa katika ukumbi wa walinzi: