Yeremia 22:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, huyu mtu Konia,amekuwa kama chungu kilichovunjika,ambacho hudharauliwa na kutupwa nje?Kwa nini yeye na watoto wake wametupwa mbaliwakatupwa katika nchi wasiyoijua?

Yeremia 22

Yeremia 22:20-30