Yeremia 22:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu aliongea nanyi mlipokuwa na fanaka,lakini nyinyi mkasema, “Hatutasikiliza.”Hii ndiyo tabia yenu tangu ujana wenu,hamjapata kuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu.

Yeremia 22

Yeremia 22:20-30