Kwa nini unajirahisisha hivi,ukibadilibadili mwenendo wako?Utaaibishwa na Misri,kama ulivyoaibishwa na Ashuru.