Yeremia 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Israeli, wewe ulikuwa mtakatifu kwangu,ulikuwa matunda ya kwanza ya mavuno yangu.Wote waliokudhuru walikuwa na hatia,wakapatwa na maafa.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Yeremia 2

Yeremia 2:2-12