Yeremia 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Uovu wako utakuadhibu;na uasi wako utakuhukumu.Ujue na kutambua kuwa ni vibaya mnokuniacha mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,na kuondoa uchaji wangu ndani yako.Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.

Yeremia 2

Yeremia 2:13-28